Yahoo Search Búsqueda en la Web

Resultado de búsqueda

  1. 24 de may. de 2024 · Rais huyo ataanza kuushuhudia mchezo wa kwanza wa fainali ya wanawake kati ya Morocco na Afrika Kusini kuanzia saa 9:30 alasiri na baada ya hapo ataangalia ule wa timu ya Tanzania wanaume ambayo itavaana Guinea kuanzia 10:30, zote zikipigwa kwenye Uwanja wa Amaan kwa dakika 40 kila mmoja.

  2. Hace 2 días · Matokeo ya mechi nyingine, Coastal Union iliyomaliza ligi ikiwa nafasi ya nne, ilitoka suluhu dhidi ya KMC nyumbani, hata hivyo imejihakikishia nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho barani Afrika. Mashujaa FC ikiwa nyumbani ilijihakikishia kubaki Ligi Kuu baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji.

  3. Hace 20 horas · VIWANJA ni miongoni mwa mahitaji makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) katika kutoa haki za uenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon). Tanzania itaandaa fainali hizo mwaka 2027 kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia mpango uliopewa jina la ‘Pamoja Bid’ na hili hilo lifanikiwe ni lazima kuwepo na viwanja vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Caf kwa nchi mwenyeji.

  4. Hace 20 horas · Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 31.05.2024. Trevoh Chalobah mzaliwa wa Sierra Leone, alihamia London akiwa mtoto na kujiunga na Chelsea akiwa na umri wa miaka minane. Manchester United wanafikiria ...

  5. Hace 1 día · Yanga imeweka wazi imelazimika kuwasilisha malalamiko yake kwa kufuatia Kanuni ya 16 (3) ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ya CAF. Naye Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ametupa lawama zake kwa Beida akidai aliwapendelea wenyeji.

  6. Hace 20 horas · Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amebainisha maeneo ambayo timu yao ilikosea na kusababisha kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano walioshiriki msimu huu ikiwemo Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la CRDB na Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed amesema hayo jana baada ya Ligi Kuu kutamatika huku Simba wakimaliza nafasi ...

  7. Hace 1 día · Uchunguzi uliofanywa na shirika la SwissAid umegundua kwamba dhahabu ya thamani ya mabilioni ya dola husafirishwa kimagendo kutoka bara la Afrika kila mwaka. SwissAid imesema Umoja wa Falme za Kiarabu ndio kituo kikuu cha dhahabu hiyo kutoka Afrika ambako mji wa Dubai unatambulika kwa kuwa na soko kubwa la dhahabu, ambapo badaye husafirishwa hadi nchi