Yahoo Search Búsqueda en la Web

Resultado de búsqueda

  1. Hace 7 horas · BAADA ya kushuhudia Simba ikimaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, baadhi ya nyota wa timu hiyo wamefunguka nini kifanyike kwa ajili ya kuirejesha timu hiyo kwenye ubora wake. Simba imemaliza ligi kwenye nafasi ya tatu nyuma ya Azam na Yanga na sasa itashiriki michuano ya Shirikisho ...

  2. Hace 7 horas · 0 Udaku Special May 30, 2024. AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA. Simba iko chimbo ikiendelea kusuka kikosi chake kimya kimya baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2023/2024 kwa kupoteza mataji sambamba na mabilioni ya pesa ikiwemo yale ya CAF. Ulikuwa ni msimu dume kwa Wekundu wa Msimbazi hao wakimaliza katika nafasi ya tatu kwenye ligi ...

  3. Hace 7 horas · Mataifa ya Afrika yataanza tena safari yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 wiki ijayo. Mechi ya raundi ya 3 na ya 4 itachezwa kati ya 05-11 Juni 2024. Timu tisa za Afrika zimehakikishiwa kushiriki katika Kombe la Dunia. Mwingine atashiriki katika mashindano ya Play-off kwani kimataifa itakuwa mwenyeji wa timu 48 kwa mara ya kwanza kabisa.

  4. Hace 7 horas · Jana, raia Afrika Kusini waliendelea kuelezea wasiwasi wao kwamba huenda nchi hiyo ikawa chini ya utawala wa muungano wa vyama. “Tuna wasiwasi kwani hatujui nini kitatendeka. Je, tutaongozwa na serikali ya muungano?” akauliza Amena Luke, 19, mwanafunzi, akiwa foleni kusubiri kupiga kura katika kituo cha Berario Recreation Centre, jijini Johannesburg.

  5. Hace 7 horas · Ziara ya Rais Samia Korea kuleta Trilioni 6.5. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya siku saba nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 kwa mwaliko rasmi wa kiongozi mkuu wa taifa hilo. Waziri Makamba ameyasema ...

  6. Hace 1 día · BOLTIM NEWS – Pihak penyelenggara kelas balap MotoGP yaitu Federasi Balap Motor Internasional (FIM), IRTA, dan Dorna Sports mengumumkan bahwa Grand Prix Kazakhstan resmi menggantikan tempat Grand Prix India, yang dibatalkan pada tahun ini. “GP Kazakhstan perdana kini akan berlangsung pada tanggal 20 hingga 22 September sebagai balapan ...

  7. Hace 7 horas · KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye thamani ya Sh. 250 milioni, imefikia ukomo kwa mkulima na mjasiriamali Emmanuel Amos Kakale wa Mitundu mkoani Singida kuibuka na zawadi kuu ya Sh. 10 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).